UZINDUZI WA MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA 2024-2025
Mahali |
Kishapu, Shinyanga |
---|---|
Tarehe |
2024-05-08 - 2024-05-08 |
Muda |
9.00 AM - 3.00 PM |
Madhumuni |
Kuanza rasmi kwa msimu wa kuuza na kununua pamba mbegu |
Event Contents |
Kuzinduliwa kwa Msimu wa Ununuzi na Uchambuaji wa pamba 2024-2025 |
Washiriki |
Wadau wa tasnia ya pamba |
Ada ya Tukio |
Not Applicable |
Simu |
+255 28 250 0528 |
Barua pepe |
info@tcb.go.tz |