Bodi ya Pamba Tanzania ni Taasisi ya Serikali yenye jukumu na mamlaka ya kuratibu na kusimamia taratibu na kanuni za kilimo cha zao la Pamba katika mikoa yote nchini.
Huduma zetu zinajumuisha shughuli za udhibiti ili kuhakikisha taratibu na kanuni za kilimo cha zao la Pamba na ugavi wa kutosha wa pembejeo za kilimo, makampuni ya biashara ya Pamba na kukusanya, kusafisha na kusambaza habari kwa wadau wote.
Wadau wa zao la Pamba wakiwa katika mkutano mkuu wa 14 uliofanyika Novemba 4, 2018 katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
Bodi ya Pamba Tanzania inachapisha taarifa za kiutendaji na inatoa vipeperushi mbalimbali ambavyo vinaonyesha jitihada za utekelezaji wa shughuli za Bodi kwa wateja wake.
Maabara ya upangaji madaraja ya Pamba iliyopo Shinyanga iliyojengwa awamu ya pili ya Mradi uliofadhiliwa na Umoja wa Ulaya
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni katika ofisi za Bodi ya Pamba jijini Mwanza
Bodi ya Pamba Tanzania inatumia mifumo ya Tehama katika kuboresha, kurahisisha na kuongeza ufanisi katika kazi zake.
Bodi ya Pamba Tanzania inanunua huduma au bidhaa zenye ubora, kwa wakati na kwa gharama nafuu ili kukidhi mahitaji yake kwa kuzingatia sheria ya ununuzi Na 7 ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013
Mbegu za pamba kiasi cha tani 25 zilizoandaliwa kwa ajili ya wakulima wa pamba wilaya ya Busega m...
Uzalishaji wa pamba msimu wa kilimo 2020-21 nchini unatarajia kufikia tani 400,000 za pamba mbegu...
Siku ya pamba duniani huadhimishwa kila Oktoba 7 katika mwaka kwa dhamira ya kutambua pamba kama...
Waziri ya Kilimo Mhe. Japhet Hasunga (Mb) amesema serikali haitajihusisha na utaratibu...
Msimu wa ununuzi wa pamba 2020-21 ulizinduliwa rasmi tarehe 15 Juni 2020 katika...
UZALISHAJI WA PAMBA WAONGEZEKA MARA DUFU KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATUJuhudi kubw...
PAMBA KUNUNULIWA KWA TSHS 1,200/= MSIMU WA 2019-20
MIKAKATI YA KUBORESHA UZALISHAJI WA PAMBA KWA MSIMU WA KILIMO 2018/2019.Msimu wa ki...
MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA 2018/19 WAANZA RASMI Bei elekezi ya kununulia pamba...
Zitaunganishwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo ili ziweze kupewa mikopo ya matrekta. Bodi ya Pamb...
Mradi wa kuzidisha mbegu ili kuongeza uzalishaji wa pamba