Habari

WAKULIMA WA PAMBA WAASWA KUTUMIA MATOKEO YA UTAFITI KUJIONGEZEA TIJA

Wakulima wa zao la pamba nchini wameshauriwa kutumia vipimo vipya wakati wa upandaji wa zao hilo ili kuweza kuwa na kilimo bora na chenye tija.... Soma zaidi

Imewekwa: Oct 17, 2021

SIKU YA PAMBA DUNIANI

​MAADHIMISHO SIKU YA PAMBA DUNIANI YATIMIA MIAKA MITATU Pamba ni zao la zao kuu la nyuzi ambalo halitokani na kutengenezwa tokea viwandani hivyo kulifanya liwe na upekee wa aina yake na kupewa heshima kutokana na upana wake wa matumizi miongoni mwa mazao ya nyuzi duniani.... Soma zaidi

Imewekwa: Oct 07, 2021

TANI 20,000 ZA MBEGU ZA PAMBA KUTUMIKA MSIMU WA KILIMO 2021-22

TANI 20,000 ZA MBEGU ZA PAMBA KUTUMIKA MSIMU WA KILIMO 2021-22. Dalili za kuongezeka kwa wakulima wa zao la pamba msimu wa 2021-22 linaisukuma Bodi ya Pamba kuandaa kiasi cha mbegu za kupanda ... Soma zaidi

Imewekwa: Oct 04, 2021

MIPANGO MAHUSUSI YA KUONGEZA TIJA KATIKA KILIMO CHA PAMBA

Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Bodi ya Pamba imeandaa mikakati mahsusi ya kuongeza tija na uzalishaji wa zao la pamba. Katika mikakati hiyo, Bodi imelenga kukuza uzalishaji kutoka wastani wa tani 300,000 hadi kufikia tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025.... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 27, 2021

KAMPUNI THELATHINI (30) ZAJITOKEZA KUNUNUA PAMBA MSIMU WA 2021-22

KAMPUNI THELATHINI (30) ZAJITOKEZA KUNUNUA PAMBA MSIMU WA 2021-22.Wakati ununuzi ukiwa umefikia wiki ya nne (4) na uchambuaji pamba ukiendelea tasnia ya pamba imeendelea kuhakikishia wakulima soko la pamba ambapo katika msimu huu wa soko jumla ya makampuni thelathini... Soma zaidi

Imewekwa: Jun 10, 2021

MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA 2021/2022 WAZINDULIWA

MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA 2021/2022 WAZINDULIWA Bei ya pamba 1,050/kg Madeni ya pembejeo kwa wakulima yafutwa Serikali yaahidi kusimamia malipo ya wakulima TCA yaahidi kununua pamba yote... Soma zaidi

Imewekwa: May 17, 2021