Bodi ya Pamba Tanzania ni Taasisi ya Serikali yenye jukumu na mamlaka ya kuratibu na kusimamia taratibu na kanuni za kilimo cha zao la Pamba katika mikoa yote nchini.
Huduma zetu zinajumuisha shughuli za udhibiti ili kuhakikisha taratibu na kanuni za kilimo cha zao la Pamba na ugavi wa kutosha wa pembejeo za kilimo, makampuni ya biashara ya Pamba na kukusanya, kusafisha na kusambaza habari kwa wadau wote.
Wadau wa zao la Pamba wakiwa katika mkutano mkuu wa 14 uliofanyika Novemba 4, 2018 katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
Bodi ya Pamba Tanzania inachapisha taarifa za kiutendaji na inatoa vipeperushi mbalimbali ambavyo vinaonyesha jitihada za utekelezaji wa shughuli za Bodi kwa wateja wake.
Maabara ya upangaji madaraja ya Pamba iliyopo Shinyanga iliyojengwa awamu ya pili ya Mradi uliofadhiliwa na Umoja wa Ulaya
Mkulima wa Pamba akizungumza na wanahabari kuhusu maendeleo ya msimu wa kilimo cha pamba 2021-22
Bodi ya Pamba Tanzania inatumia mifumo ya Tehama katika kuboresha, kurahisisha na kuongeza ufanisi katika kazi zake.
Bodi ya Pamba Tanzania inanunua huduma au bidhaa zenye ubora, kwa wakati na kwa gharama nafuu ili kukidhi mahitaji yake kwa kuzingatia sheria ya ununuzi Na 7 ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013
SERIKALI YATANGAZA BEI DIRA YA PAMBA MSIMU WA 2024/2025 KUWA TZS 1150/=Msimu wa ununuz...
Mkutano wa 17 wa wadau wa tasnia ya pamba, Machi 23,2024 Dodoma Tanzania
1.Wizara kupitia Bodi ya Pamba Tanzania katika mwaka 2023/2024 kwa kushirikiana na Chama cha...
Msimu wa ununuzi wa pamba 2023/2024 nchini umezinduliwa rasmi wilaya ya Kasulu Mkoa wa Kigoma uki...
BODI YA WAKURUGENZI TCB WATEMBELEA WAKULIMA WA PAMBABodi ya Wakurugenzi na Menejimenti...
WAKULIMA WA PAMBA WAONGEZE BIDII UTUNZAJI MASHAMBAMkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba,Ndg...
WAKULIMA WA PAMBA WAITIKIA VIPIMO VIPYA UPANDAJI PAMBAUzalishaji wa zao la Pamba Nchin...
WAKULIMA WA PAMBA WAJIANDAA NA MSIMU MPYA WA KILIMO 2022-2023Msimu wa Kilimo cha pamba...
MAADHIMISHO YA SIKU YA PAMBA DUNIANI OKTOBA 7Siku ya Pamba Duniani Ni Nini??...
BALOZI WA PAMBA AWAFIKIA NA KUWAPA ELIMU WAKULIMA WA CHEMBA DODOMAWakulima wa zao l...
WAKULIMA TULIME PAMBA KWA VIWANGO 30/60Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe. Onesmo Bus...
MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA WAZINDULIWA HUKU BEI IKIPAA KWA 48%Pamba ni zao la kimkak...