Bodi ya Pamba Tanzania ni Taasisi ya Serikali yenye jukumu na mamlaka ya kuratibu na kusimamia taratibu na kanuni za kilimo cha zao la Pamba katika mikoa yote nchini.
Huduma zetu zinajumuisha shughuli za udhibiti ili kuhakikisha taratibu na kanuni za kilimo cha zao la Pamba na ugavi wa kutosha wa pembejeo za kilimo, makampuni ya biashara ya Pamba na kukusanya, kusafisha na kusambaza habari kwa wadau wote.
Wadau wa zao la Pamba wakiwa katika mkutano mkuu wa 14 uliofanyika Novemba 4, 2018 katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
Bodi ya Pamba Tanzania inachapisha taarifa za kiutendaji na inatoa vipeperushi mbalimbali ambavyo vinaonyesha jitihada za utekelezaji wa shughuli za Bodi kwa wateja wake.
Maabara ya upangaji madaraja ya Pamba iliyopo Shinyanga iliyojengwa awamu ya pili ya Mradi uliofadhiliwa na Umoja wa Ulaya
Mkulima wa Pamba akizungumza na wanahabari kuhusu maendeleo ya msimu wa kilimo cha pamba 2021-22
Bodi ya Pamba Tanzania inatumia mifumo ya Tehama katika kuboresha, kurahisisha na kuongeza ufanisi katika kazi zake.
Bodi ya Pamba Tanzania inanunua huduma au bidhaa zenye ubora, kwa wakati na kwa gharama nafuu ili kukidhi mahitaji yake kwa kuzingatia sheria ya ununuzi Na 7 ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013
ADVERTISEMENT FOR INTERNSHIP OPPORTUNITY
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Cotton Deve...