Uzinduzi wa Msimu wa Ununuzi wa Pamba

Mahali

Tanganyika,Katavi

Tarehe

2019-05-02 - 2019-05-02

Muda

9.00 am - 10.00 pm

Madhumuni

- Kutangaza bei elekezi ya pamba mbegu

- Kuanza rasmi kwa ununuzi wa pamba mbegu

- Ufunguzi rasmi wa vituo vya kununulia pamba

Event Contents

Uzinduzi rasmi wa msimu wa pamba ufanyika kila mwaka katika wilaya mojawapo inayolima pamba iliyopendekezwa ambapo wadau wote hukutana kwa ajili ya shughuli hii muhimu

Washiriki

Wadau wote wa pamba

Ada ya Tukio

Hakuna

Simu

+255789145145

Barua pepe

info@tcb.go.tz