Habari
Imewekwa:: May, 14 2024
SERIKALI YATANGAZA BEI DIRA YA PAMBA MSIMU WA 2024/2025 KUWA TZS 1150/=
Msimu wa ununuzi wa pamba 2024/2025 umezinduliwa rasmi tarehe 8 Mei 2024 ambapo serikali imetumia hafla hiyo iliyofanyika katika wilaya ya Kishapu kutangaza bei ya kilo moja ya pamba Mbegu kwa Mkulima kuwa ni Shilingi 1150/= kwa pamba daraja A na shilingi 575/= kwa pamba daraja B
Habari zaidi itakujia punde............................