Habari

Imewekwa:: Nov, 19 2020
News Images
UZALISHAJI PAMBA KUFIKIA TANI 400,000 MSIMU WA 2021-22


Uzalishaji wa pamba msimu wa kilimo 2020-21 nchini unatarajia kufikia tani 400,000 za pamba mbegu sawa na robota za pamba nyuzii zaidi ya 700,000. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba Tanzania Ndg. Marco Mtunga alipofanya mahojihano maalum na gazeti la Mwananchi tarehe 12 Novemba 2020. Msimu wa pamba unatarajiwa kuanza tarehe 15 Novemba kwa mujibu wa kalenda ya pamba kwa kanda ya Magharibi inayojumuhisha mikoa 12 inayozalisha takribani 99% ya pamba yote nchini

Tazama video hapa chini:

UZALISHAJI WA PAMBA KUFIKIA TANI 400,000 MSIMU WA 2020-21