Habari
Imewekwa:: Feb, 23 2023
WAKULIMA WA PAMBA WAONGEZE BIDII UTUNZAJI MASHAMBA
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba,Ndg. Marco Mtunga amewataka Wakulima wa pamba nchini kuendelea kutilia mkazo na kuongeza bidii katika utunzaji wa mashamba ya pamba ili kujiongezea tija wakati wa mavuno ambayo yatawanufaisha kiuchumi na kuliingizia Taifa kipato.