MBEGU ZA PAMBA ZA KUPANDA

Imewekwa: Nov 07, 2018

MBEGU ZA PAMBA ZA KUPANDA Title

Wakulima wa Pamba na Watu wote wanataarifiwa kuwa mbegu za Pamba Msimu huu zinapatikana katika kila Kijiji. Bei ya kilo ya mbegu ni TZS 500.