Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bodi ya Pamba Tanzania

Mkutano Mkuu wa 83 wa ICAC (Kamati ya Kimataifa ya Ushauri wa Masuala ya Pamba)

17 November, 2025 - 20 November, 2025
09:00:00 - 17:00:00
Malaika Beach Resort, Mwanza - Tanzania
Edward Nyawile edward.nyawile@tcb.go.tz

Mkutano wa kimataifa wa kamati ya ushauri wa masuala ya maendeleo ya pamba duniani unawakutanisha wadau kutoka mataifa mbalimbali duniani ambapo upata fursa ya kujadili mustakabali wa zao la pamba na bidhaa zake katika kuleta manufaa ya kiuchumi na kijamii. Mkutano huu wa siku nne unafanyika nchini Tanzania kwa mara ya pili katika jiji la Mwanza na unatarajiwa kufunguliwa na waziri mwenye dhamana ya kilimo Mhe,

Mkutano Mkuu wa 83 wa ICAC (Kamati ya Kimataifa ya Ushauri wa Masuala ya Pamba)