PEMBEJEO ZA KILIMO
PEMBEJEO ZA KILIMO
Imewekwa: 26 August, 2025
Tunatoa Pembejeo za Kilimo kwa Wakulima wa Pamba.
Huduma hii hutolewa kwa wakulima wa wa zao la pamba. Pembejeo zinazotolewa ni mbegu za pamba, viuadudu, vinyunyizi na mbolea hai