USANIFU MADARAJA YA PAMBA
USANIFU MADARAJA YA PAMBA
Imewekwa: 26 August, 2025
Huduma hii inatolewa kwa wachambuaji/wafanyabiashara wa pamba wanaohitaji kujua daraja la ubora wa pamba nyuzi.
Aina za usanifu
- Usanifu wa madaraja ya Ubora wa Pamba Nyuzi Kwa Mkono (Mannual classing)
- Usanifu wa Madaraja ya Ubora wa Pamba Nyuzi kwa Mashine (High Volume Instrument)