Uzinduzi wa Msimu wa Ununuzi wa Pamba 2020-21

Mahali

Nzega

Tarehe

2020-06-15 - 2020-06-15

Muda

9.00 am - 5.00 pm

Madhumuni

  • - Kutangaza bei elekezi ya pamba mbegu - Kuanza rasmi kwa ununuzi wa pamba mbegu - Ufunguzi rasmi wa vituo vya k

Event Contents

Uzinduzi rasmi wa msimu wa pamba ufanyika kila mwaka katika wilaya mojawapo inayolima pamba iliyopendekezwa ambapo wadau wote hukutana kwa ajili ya shughuli hii muhimu

Washiriki

Wadu wa tasnia ya pamba

Ada ya Tukio

Hakuna

Simu

+255282762075

Barua pepe

info@tcb.go.tz