Maktaba ya Picha

 • Mkaguzi wa Pamba (W) Igunga Ndg. Venance Kankutebe kutoka Bodi ya Pamba Tanzania akimpatia elimu ya matumizi sahihi ya kinyunyizi mkulima Bw. Shija Mandalu wa kijiji cha Ibutamisuzi wilayani Igunga mkoani Tabora alipomtembelea Shambani Kwake hivi karibuni

  Mkaguzi wa Pamba (W) Igunga Ndg. Venance Kankutebe kutoka Bodi ya Pamba Tanzania akimpatia elimu ya matumizi sahihi ya kinyunyizi mkulima Bw. Shija Mandalu wa kijiji cha Ibutamisuzi wilayani Igunga mkoani Tabora alipomtembelea Shambani Kwake hivi karibuni

  Imewekwa : March, 23, 2021

 • Maaonesho ya Kilimo "Nanenane"

  Sikukuu za Wakulima maarufu “Nanenane” ni maonesho makubwa ya kilimo nchini Tanzania yanayofanyika katika kanda tofauti kila mwaka. Kuanzia tarehe 1 Agosti kuendelea, matukio yamepangwa nchini kote kwa kuzingatia kanda husika, yakikamilishwa katika Siku ya Wakulima kitaifa mnamo tarehe 8 Agosti. Katika maonyesho haya, wakulima na wadau wengine wa kilimo wanaonyesha teknolojia mpya na bidhaa zitokanazo na shughuli za kilimo.

  Imewekwa : September, 02, 2019

 • Mkutano wa 15 wa Wadau wa Pamba

  Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa akihutubia wakati wa Mkutano wa 15 wa wadau wa sekta ndogo ya pamba uliofanyika tarehe 27 Aprili 2019 jijini Mwanza

  Imewekwa : May, 05, 2019

 • Mkutano wa 14 wa wadau wa pamba 2018

  Mkutano wa 13 wa wadau wa pamba 2018

  Imewekwa : December, 06, 2018

 • Waziri Mkuu ziarani Bunda

  PM in Bunda district

  Imewekwa : November, 13, 2018