Uza au Agiza: Mbegu, Mashudu ya Pamba nje ya Nchi
Uza au Agiza: Mbegu, Mashudu ya Pamba nje ya Nchi
- Mwombaji wa Kibali cha kuuza Mbegu za Pamba au Mashudu nje ya nchi lazima awe na Leseni mahsusi ya Biashara
- Mwombaji lazima awe na mkataba wa mauzo uliosainiwa na pande zote mbili (muombaji na mnunujzi)
- Mwombaji wa Kibali lazima arejeshe nakala ya Kibali cha kusafirisha Mbegu au Mashudu nje ndani ya siku 14 tangu kilipotolewa kabla ya kupata Kibali kingine.
- Mwombaji hatakiwi kuuza Mbegu au Mashudu kwa kubadilishana na kitu kingine