Habari
Matukio
-
The ICAC's 83rd Plenary Meeting
17th Nov 2025Malaika Beach Resort, Mwanza - Tanzania -
UZINDUZI WA MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA 2024-2025
08th May 2024Kishapu, Shinyanga
Matangazo
-
Jun 06, 2025
JOB OPPORTUNITY ADVERTISEMENT : AGRICULTURAL OF...
-
Feb 20, 2025
JOB OPPORTUNITY ADVERTISEMENT: COTTON TEXTILE C...
Dira na Dhamira
DIRA
Taasisi inayoongoza, kuhamasisha na kukuza ushindani ndani ya tasnia ya pamba kwa kuzingatia ubora, tija na uzalishaji.
DHAMIRA
Kuboresha uzalishaji, tija na faida kwa kuongeza ufanisi katika kusimamia sheria, kanuni na taratibu zinazolinda ubora wa pamba inayozalishwa na kuuzwa ndani na nje ya nchi; kutoa huduma kwa wadau kwa ufanisi zaidi; kukuza ushirikiano na uhusiano miongoni mwa wadau kwa lengo la kujisimamia wenyewe katika kuhamasisha uzalishaji, usindikaji na matumizi ya pamba ndani ya nchi.
MISINGI YA UTENDAJI
i. Kukuza Kipato
ii. Kukuza Ushirikiano wa Kisekta
iii. Maendeleo endelevu
iv. Weledi
v. Ubunifu