Pata Leseni: Kuuza Pamba Nyuzi nje ya Nchi
Pata Leseni: Kuuza Pamba Nyuzi nje ya Nchi
- Mwombaji Leseni ya kusaifisha robota nje ya nchi lazima awe amesajiliwa nchini Tanzania
- Mwombaji Leseni lazima awe na Lesni ya biashara, TIN na Cerificate of incorporation
- Mwombaji asiwe na mgogoro wa kibiashara au kufungiwa na kampuni ya ndani au nje ya nchi
- Mwombaji lazima aonyeshe uwezo wa kifedha kwa uthibitisho kutoka chombo cha kifedha.
- Mwombaji lazima athibitishe kuwa ana Pamba anayosafirisha nje ya nchi
- Hakuna Mwombaji wa Leseni atakayeruhusiwa kusafirisha Pamba bila kibali kinachotolewa na Bodi ya Pamba Tanzania