Habari
Imewekwa:: May, 18 2023
- 1.Wizara kupitia Bodi ya Pamba Tanzania katika mwaka 2023/2024 kwa kushirikiana na Chama cha Wazalishaji wa Pamba Tanzania (Tanzania Cotton Association - TCA) itanunua trekta 100 kwa ajili ya kuanzisha vituo vya kutoa huduma kwa wakulima
- 2.Wizara kupitia Bodi ya Pamba Tanzania itatumia Shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya umwagiliaji na kuwezesha wakulima wa zao la pamba.
- 3.Kuongezeka kwa mauzo ya pamba kutoka Dola za Marekani Milioni 227.1 hadi Dola za Marekani Milioni 238.46
- 4.Ufufuaji wa vinu vya kuchakata pamba katika viwanda vinavyoendeshwa na vyama vya Ushirika vya Sola (Simiyu), Mugango (Mara) Buyagu na Manawa (Mwanza).