Habari

Imewekwa:: Nov, 08 2018
News Images

Zitaunganishwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo ili ziweze kupewa mikopo ya matrekta. Bodi ya Pamba kama chombo cha kusimamia sheria na kanuni katika tasnia ya pamba haina fedha za kuweza kununua zana husika, hivyo hakuna fungu lililotengwa kwa ajili ya kazi hiyo.